Masomo ya Kilimo

Jifunze kanuni za kilimo bora, uongeze tija na uzalishaji wa mazao yako

mvua za vuli 2019

Utabiri wa Mvua za Vuli 2019

Katika msimu wa mvua za vuli 2019, maeneo mengi ya nyanda za juu kaskazini mashariki pamoja na pwani ya kaskazini yanatarajiwa kuwa na mvua za wastani hadi…

mbegu za mihogo

Aina Bora 19 za Mbegu za Mihogo

Zaidi ya aina 45 za mbegu za mihogo zinajulikana hapa nchini. Zaidi ya 80% ya mihogo ni ya asili. Hivyo wakulima wengi hawatumii mbegu bora za mihogo.

magonjwa-ya-mihogo-batobato

Wadudu na Magonjwa ya Mihogo

Kilimo cha zao la muhogo kinazongwa na changamoto ya wadudu na magonjwa ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kiasi cha mavuno, na ubora wa muhogo.

kilimo cha karoti

Jinsi ya kufanya Kilimo Bora cha Karoti

Karoti ni zao la jamii ya mzizi. Karoti ni aina ya mboga mboga yenye vyanzo vingi vya calcium, iron na wingi wa vitamin B. kilimo cha karoti huhitaji …

Kunyunyiza viuatilifu

Namna Sahihi ya Matumizi ya Viuatilifu

Viuatilifu ni sumu inayotumika kuua, kuangamiza, kufukuza, au kuzuia visumbufu katika mimea.Visumbufu vya mimea vyaweza kuwa wadudu, fangasi, magugu, …

nyanya-imeoza-kitako

Ugonjwa wa Nyanya Kuoza Kitako

Tatizo la nyanya kuoza kitako ni hali ya kifiziolojia inayosababishwa na uchache wa au mmea kushindwa kufyonza madini ya chokaa (Calcium) kwenye udongo …

Ramani ya mvua za vuli - 2018

Mrejeo wa Mvua za Vuli 2018

Mvua za Vuli zinazoendelea katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka zilianza mwezi Septemba, hususani katika maeneo machache ya Ukanda wa …

>