Category: Mazao ya Viungo

Pilipili-manga-iliyokaushwa
Mazao ya Viungo
Mtalula Mohamed

Kilimo cha Pilipili Mtama

Pilipili manga (au pilipili mtama) ni zao la kiungo, linalimwa kwa ajili ya matumizi yake kwenye mapishi. Kufanya kilimo cha pilipili manga ni rahisi sana …

Maua-ya-mmea-wa-vanila
Mazao ya Viungo
Mtalula Mohamed

Kilimo cha zao la vanilla – part 2

Katika kipindi kilichopita tuliona mahitaji ya zao la vanilla na jinsi linavyolimwa, sasa leo napenda kukukaribisha ndugu yangu mkulima katika sehemu hii ya pili ambapo tutaona: magonjwa na wadudu waharibifu wa zao la vanilla likiwa shambani pamoja na kuvuna, kukausha na

Mapodo-ya-vanila
Mazao ya Viungo
Mtalula Mohamed

Kilimo cha zao la vanilla – part 1

Zao hili lilianza kuingia nchini kutoka Uganda mnamo mwaka 1954 kupitia kwa mkulima mmoja wa kijiji cha Kiilima wilaya ya Bukoba Vijijini. UTANGULIZI Zao la vanilla ni moja ya zao la viungo ambalo asili yake ni Kusini Mashariki ya Mexico

Kilimo cha Viungo Chachu ya Uchumi Morogoro

Milima ya Uluguru-Morogoro ASILIMIA 90 ya wananchi katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro ni wakulima na wamekuwa wanakitumia kilimo kujiendeleza kiuchumi, wao na halmashauri hiyo. Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 halmashauri hiyo inakadiriwa kuwa

Kilimo cha Binzari (Curcuma longa)

Utangulizi Jina la kitalaam ni Curcuma domestica au Curcuma longa na kwa kiingereza ni turmeric. Zao hili asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera, Kilimanjaro, Morogoro na Zanzibar. Binzari hutumika kwa mapishi ya nyama,

Tumeric – Post-Harvest Management Aspects

1.1 Harvest Turmeric readiness for harvest is indicated by the drying of the plant and stem, approximately 7 to 10 months after planting, depending on cultivar, soil and growing conditions. The rhizome bunches are carefully dug out manually with a

Kilimo Bora Cha Tangawizi (Zingiber officinale)

UTANGULIZI Jina la kitaalamu ni Zingiber officinale. Tangawizi ni aina ya zao la kiungo ambalo sehemu inayotumika ni tunguu (rhizome) ambalo huonekana kama mizizi ya mmea. Asili ya zao hili ni maeneo ya kitropiki ya bara la Asia na hasa katika nchi za

Join Our Farming Community