Kilimo cha Pilipili Mwendokasi Tanzania: mbinu bora, faida kubwa
Kilimo cha Pilipili mwendokasi kimejipatia umaarufu mkubwa sana hivi karibuni. Hata hivyo wakulima wengi hawajui mbinu za kitaalam za uzalishaji wake ili wapate faida.
Kilimo cha Pilipili mwendokasi kimejipatia umaarufu mkubwa sana hivi karibuni. Hata hivyo wakulima wengi hawajui mbinu za kitaalam za uzalishaji wake ili wapate faida.
Ni rahisi kulima kabichi na ina mzunguko mfupi wa ukuaji, kwa kawaida hukomaa ndani ya miezi 3 hadi 4, na kuifanya kuwa chaguo la kuvutia kwa wakulima wanaotafuta faida ya haraka kwenye uwekezaji.
Kanuni za kilimo bora ni seti ya miongozo au taratibu za kisayansi zilizofanyiwa majaribio kwa muda mrefu na ambazo zimekubalika zitumike katika kuboresha uzalishaji wa mazao. Kanuni za kilimo bora ni muhimu sana katika kuhakikisha kilimo kinakuwa na tija na kusaidia kuboresha maisha ya wakulima na jamii kwa ujumla.
Bamia ni zao linalolimwa katika maeneo mengi nchini kutokana na umuhimu wake kwenye lishe na kuongeza kipato. Baadhi ya maeneo yanayolima zao la bamia kwa Tanzania ni pamoja na mikoa ya Morogoro, Dodoma, Tabora, Pwani na Mbeya.
Karoti ni zao la jamii ya mzizi. Karoti ni aina ya mboga mboga yenye vyanzo vingi vya calcium, iron na wingi wa vitamin B. kilimo cha karoti huhitaji ...
Tatizo la nyanya kuoza kitako ni hali ya kifiziolojia inayosababishwa na uchache wa au mmea kushindwa kufyonza madini ya chokaa (Calcium) kwenye udongo ...
Ni muhimu kujua jinsi ya kuandaa na kutunza kitalu cha miche ya mbogamboga kwa sababu mazao mengi ya mboga mboga huhitaji kuanzia kitaluni ili yaweze ku...
This is a redirected post. 404 – Page not found | Mogriculture Tz
Ni muhimu kuchagua eneo linalofaa kwa kilimo cha pilipili hoho kabla ya kuanza uzalishaji. Ni vyema eneo litakalotumika katika kilimo cha pilipili hoho ...
Kilimo cha bamia huchukua muda mfupi sana, bamia huchukua siku 50 hadi 60 kuanza kuvuna. Huwa tayari kuvunwa siku tano tangu kutoka kwa maua zikiwa changa ..
Ni muhimu kuchagua eneo linalofaa kwa kilimo cha bamia kabla ya kuanza uzalishaji. Ni vyema eneo litakalotumika katika kilimo cha bamia liwe...
Nyanya hulimwa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Hapa nchini, kilimo cha nyanya ni cha kwanza katika mazao ya mbogamboga ...
Ili uweze kubaini mapema uwepo wa wadudu waharibifu au magonjwa katika mimiea yako ya nyanya ni lazima uwe unachunguza mimea yako mara kwa mara. Angalia ...
Pamoja na umuhimu wake, magonjwa ya nyanya yamekuwa ni kikwazo kikubwa sana katika uzalishaji na ubora wa matunda ya nyanya. Hivyo basi ili mkulima aweze ...
Kilimo cha matikiti huhitaji udongo wenye rutuba nzuri ulio na virutubisho. Vile vile haihitaji udongo wenye kiasi kikubwa cha tindikali na alikali kubwa.
Nanasi linalitaji hali ya hewa ya joto. Mwinuko wa mita 1300 hadi 1750 hufaa zaidi kwa uzalishaji wa nanasi kwaajili ya kilimo cha nanasi, ...
Matango, kutegemeana na aina ya mbegu, huvunwa kuanzia mwezi mmoja na nusu hadi miwili baada ya kupanda. Matunda yanatakiwa kuwa na urefu wa sm 15 hadi 20.
Ili ufanikiwe katika kilimo cha vitunguu maji, utahitaji kuzingatia mambo muhimu kama kuandaa shamba linalofaa pamoja na aina ya mbegu na matunzo muhimu kama kuweka mbolea na kudhibiti wadudu na magonjwa
Nchini Tanzania mikoa inayoshughulika na kilimo cha migomba na kuzalisha zao la ndizi kwa wingi ni pamoja na Kagera, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Manyara, ...