Category: Mazao ya Mizizi

mbegu za mihogo
Mazao ya Mizizi
Mtalula Mohamed

Aina Bora 19 za Mbegu za Mihogo

Zaidi ya aina 45 za mbegu za mihogo zinajulikana hapa nchini. Zaidi ya 80% ya mihogo ni ya asili. Hivyo wakulima wengi hawatumii mbegu bora za mihogo.

magonjwa-ya-mihogo-batobato
Mazao ya Mizizi
Mtalula Mohamed

Wadudu na Magonjwa ya Mihogo

Kilimo cha zao la muhogo kinazongwa na changamoto ya wadudu na magonjwa ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kiasi cha mavuno, na ubora wa muhogo.

kilimo cha karoti
Mazao ya Mizizi
Mtalula Mohamed

Jinsi ya kufanya Kilimo Bora cha Karoti

Karoti ni zao la jamii ya mzizi. Karoti ni aina ya mboga mboga yenye vyanzo vingi vya calcium, iron na wingi wa vitamin B. kilimo cha karoti huhitaji …

Majani-ya-muhogo-almaarufu-kama-kisamvu
Mazao ya Mizizi
Mtalula Mohamed

Muongozo wa Kilimo Bora Cha Mihogo

Muhogo ni zao la jamii ya mizizi. Kilimo cha muhogo hustawi vizuri katika maeneo yaliyopo kwenye mwinuko wa mita 0 hadi 1500 toka usawa wa bahari.

Kilimo bora cha Viazi Vitamu (Sweet potatoes)

  Zao hili hustawi maeneo mengi Nchini Tanzania. Viazi hustawi vizuri katika maeneo ya tambarare yenye udongo tifutifu, unaoruhusu maji kupenya kwa urahisi. Udongo wa mfinyazi na wenye kokoto nyingi haufai kwani huzuia mizizi kupenya na kupanuka. Utangulizi Kilimo cha

error: Content is protected !!

Join Our Farming Community