Mazao ya Mizizi
Wadudu na Magonjwa ya Mihogo
Kilimo cha zao la muhogo kinazongwa na changamoto ya wadudu na magonjwa ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kiasi cha mavuno, na ubora wa muhogo.
Kilimo cha zao la muhogo kinazongwa na changamoto ya wadudu na magonjwa ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kiasi cha mavuno, na ubora wa muhogo.
Viwavi jeshi hushambulia aina za mimea/mazao zaidi ya 80. Hupendelea zaidi mimea jamii ya nafaka kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na miwa na mbogamboga.
Viuatilifu ni sumu inayotumika kuua, kuangamiza, kufukuza, au kuzuia visumbufu katika mimea.Visumbufu vya mimea vyaweza kuwa wadudu, fangasi, magugu, …
Tatizo la nyanya kuoza kitako ni hali ya kifiziolojia inayosababishwa na uchache wa au mmea kushindwa kufyonza madini ya chokaa (Calcium) kwenye udongo …
Ili kudhibiti panya waharibifu wa mazao inashauriwa kutumia mbinu za aina tofauti kwa wakati mmoja ili kuongeza ufanisi wa kuwadhibiti. Chakufanya ni …
Panya ni wanyama wadogo jamii ya mammalia walio katika familia/kundi linalotambulika kitaalamu kama Muridae wenye meno mawili ya mbele kwa kila taya na mwanya kati ya meno ya mbele na magego unaotambulika kitaalamu kama Diastema. (more…)
Magonjwa ya pilipili hoho ni moja ya sababu kuu zinazoweza kusababisha hasara kubwa sana katika kilimo cha pilipili hoho. Hasara ya mpaka 100% inaweza kut..
Wadudu waharibifu ni tatizo kubwa sana katika kilimo cha mazao kwa sababu hushambulia mazao na kusababisha hasara kwa mkulima. Wadudu hushambulia mimea na kusababisha athari (injury) zinazopelekea mkulima kupata hasara (damage) ya asilimia sabini au zaidi pindi mashambulizi yanapokuwa makubwa. (more…)
Funza wa vitumba ni nondo, na ni mdudu mharibifu maarufu wa kunde na maharage mengine kote Afrika Mashariki na Magharibi. Viwavi hula vitumba na maua, na kuingia ndani ya mifuko ya maharage na kuacha tundu kwenye mfuko wa maharage na kula mbegu. Habari na pole na kazi ndugu yangu. Karibu Read more…
Ili uweze kubaini mapema uwepo wa wadudu waharibifu au magonjwa katika mimiea yako ya nyanya ni lazima uwe unachunguza mimea yako mara kwa mara. Angalia …