Lima Kitaalamu

Jifunze kanuni za kilimo bora cha mazao

Makala za kilimo

Tumekuandalia makala zinazoeleza mbinu sahihi za utunzaji wa mazao, mbegu bora, mahitaji ya madawa na mbolea na jinsi ya kudhibiti wadudu na magonjwa.

Vitabu vya kilimo

Unaweza kujipatia vitabu vya kilimo bora na miongozo ya kilimo ambayo itakuwezesha kujua mchanganuo wa gharama za uzalishaji na kukupa muongozo wa utunzaji wa mazao husika.

Ushauri Kilimo

Ikiwa hujatosheka na makala na vitabu vyetu, unaweza kuomba ushauri kwetu. Tunaweza kushaurina nawewe kwa kina juu ya jambo lako.

Wanasemaje wasomaji wetu?

"...Safi sana, (mnatoa) Elimu nzuri sana"
shishikaye eliudi
Shishikaye Eliud
Worker
"Nashukuru sana kwa elimu nzuri mnayoendelea kutupatia! Natarajia kulima msimu ujao kwa kuzingatia ushauri wenu na nina ahidi kuleta mrejesho hapa hapa baada ya mavuno..."
Desdel Nyamiti
Desdel Nyamiti
Aspiring Farmer
Ahsanteni sana kwa makala inyoelimisha umma wa watanzania!! Natambua umuhimu wa makala zenu kwani natarajia kuwa mkulima bora!"
Paulo Ammi
College Student

Umeshawishika na tunachokifanya na ungependa kuwasiliana nasi? Tupo tayari kusikia maoni yako, bofya hapa…