Katika msimu huu wa kilimo tumekuletea mwongozo wa kilimo biashara cha Alizeti. Usilime tena kwa mazaoea.
Fuata hatua kwa hatua tangu kuandaa shamba lako, kupanda mpaka kuvuna kama tulivyokuelezea kwenye mwongozo huu. Aina, kiasi kwa ekari na bei za mbegu, mbolea, dawa za kuua wadudu, magugu na magonjwa, vyote vipo humo!
Kilimo ni sayansi, lakini sio lazima uwe mwanasayansi ili ulime kwa mafanikio. Andaa wazo na fedha, masuala ya kisayansi tuachie sisi. Tutakushauri juu ya mbegu bora, mbolea unayohitaji, na kinga na tiba dhidi ya wadudu na magonjwa ya mazao yako.
Kwa kufuata miongozo ya kilimo biashara tuliyoiandaa kitaalam, unaweza kufanya kilimo chako kama mtaalam kamili. Utajifunza hatua zote za ulimaji na utunzaji wa shamba lako, gharama za uzalishaji na makadirio ya mavuno na faida utakayopata.
Tumekuandalia makala zinazoeleza kanuni za kilimo bora kwa upana wake. Jifunze mbinu sahihi za utunzaji wa mazao, mbegu bora, mahitaji ya madawa na mbolea na jinsi ya kudhibiti wadudu na magonjwa wa mazao yako.
Kuwa miongoni mwa wasomaji zaidi ya 10,000 wanaonufaika na masomo yetu ya kilimo.
Copyright 2020 © Mogriculture.com. All Rights Reserved