Jinsi ya Kuandaa na Kutunza Kitalu cha Mbegu ya Mpunga
Kabla ya kupanda, mbegu ya mpunga inatakiwa kuandaliwa vizuri ili kuirahisishia kuota kwa kiwango kizuri ili mkulima apate miche bora ya kupandikiza baadae.
Kabla ya kupanda, mbegu ya mpunga inatakiwa kuandaliwa vizuri ili kuirahisishia kuota kwa kiwango kizuri ili mkulima apate miche bora ya kupandikiza baadae.
Ndugu mkulima, ili ufanye kilimo bora na cha kisasa cha mahindi, Mogriculture Tz inakuasa kuachana na matumizi ya mbegu za kienyeji, kwani mbegu za kienyeji zina mavuno madogo sana na zinachukua muda mrefu sana kukomaa na nyingi zinashambuliwa sana na…

Mkulima ni lazima ajifunze jinsi ya kulima mpunga kabla hajajiingiza kwenye kilimo cha mpunga. Mkulima anatakiwa kujua mbegu bora za mpunga, hatua muhimu...
Kulingana na msimu kilimo cha mahindi huanza mwanzoni mwa mwezi wa 11 baada ya mvua za kwanza kunyesha ambayo huvunwa mwezi Machi mwishoni au aprili mwanzoni.
Habari, na karibu tena katika muendelezo wa mafunzo yetu ya kilimo cha kisasa. Leo tutaangazia kwenye mahitaji ya Udongo na Mbolea katika kilimo cha Mahindi. Karibu … Mahitaji ya udongo na mbolea ni muhimu kwa ajili ya ukuaji wa…