Masomo ya Kilimo

maua ya bamia

Muongozo wa Kilimo cha Bamia – 2

Kilimo cha bamia huchukua muda mfupi sana, bamia huchukua siku 50 hadi 60 kuanza kuvuna. Huwa tayari kuvunwa siku tano tangu kutoka kwa maua zikiwa changa ..

Majani-ya-muhogo-almaarufu-kama-kisamvu

Muongozo wa Kilimo Bora Cha Mihogo

Muhogo ni zao la jamii ya mizizi. Kilimo cha muhogo hustawi vizuri katika maeneo yaliyopo kwenye mwinuko wa mita 0 hadi 1500 toka usawa wa bahari.

Mbegu-bora-za-mahindi

Zifahamu Mbegu Bora za Mahindi

Ndugu mkulima, ili ufanye kilimo bora na cha kisasa cha mahindi, Mogriculture Tz inakuasa kuachana na matumizi ya mbegu za…

Maharage-yenye-mapodo

Kilimo Bora Cha Maharage

Urahisi wa kilimo cha maharage na faida zake lukuki ni kivutio kwa watu wengi lakini bila kufuata muongozo wa kitaalam ni ndoto kwa mkulima kupata mavuno mengi.

karanga-za-mapodo

Kilimo Bora Cha Karanga

Utangulizi Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma…

shamba-la-mpunga

Kilimo cha Kisasa cha Mpunga

Mkulima ni lazima ajifunze jinsi ya kulima mpunga kabla hajajiingiza kwenye kilimo cha mpunga. Mkulima anatakiwa kujua mbegu bora za mpunga, hatua muhimu...

late-blight-on-fruits

Magonjwa hatari ya nyanya na dawa zake

Pamoja na umuhimu wake, magonjwa ya nyanya yamekuwa ni kikwazo kikubwa sana katika uzalishaji na ubora wa matunda ya nyanya. Hivyo basi ili mkulima aweze ...

Maua-ya-mmea-wa-vanila

Kilimo cha zao la vanilla – part 2

Katika kipindi kilichopita tuliona mahitaji ya zao la vanilla na jinsi linavyolimwa, sasa leo napenda kukukaribisha ndugu yangu mkulima katika sehemu…