Ufugaji Wa Kuku Wa Kienyeji – Part 3 – Mwisho
“….Ili ufanikiwe katika ufugaji wa kuku, ni muhimu sana kulifahamu vyemi kundi la kuku wako. Ukilifahamu vema kundi lako utaweza kuchagua kuku bora wa kuzalishia kwa kuangalia ubora wa wazazi wao.” KUSIMAMIA UFUGAJI WAKO >>Kutunza kumbukumbu Ili ufanikiwe katika ufugaji wa…
