Jinsi ya kulima kabichi (cabbage) kwa mafanikio
Ni rahisi kulima kabichi na ina mzunguko mfupi wa ukuaji, kwa kawaida hukomaa ndani ya miezi 3 hadi 4, na kuifanya kuwa chaguo la kuvutia kwa wakulima wanaotafuta faida ya haraka kwenye uwekezaji.
Ni rahisi kulima kabichi na ina mzunguko mfupi wa ukuaji, kwa kawaida hukomaa ndani ya miezi 3 hadi 4, na kuifanya kuwa chaguo la kuvutia kwa wakulima wanaotafuta faida ya haraka kwenye uwekezaji.
Kanuni za kilimo bora ni seti ya miongozo au taratibu za kisayansi zilizofanyiwa majaribio kwa muda mrefu na ambazo zimekubalika zitumike katika kuboresha uzalishaji wa mazao. Kanuni za kilimo bora ni muhimu sana katika kuhakikisha kilimo kinakuwa na tija na kusaidia kuboresha maisha ya wakulima na jamii kwa ujumla.
Bamia ni zao linalolimwa katika maeneo mengi nchini kutokana na umuhimu wake kwenye lishe na kuongeza kipato. Baadhi ya maeneo yanayolima zao la bamia kwa Tanzania ni pamoja na mikoa ya Morogoro, Dodoma, Tabora, Pwani na Mbeya.
Ni muhimu kujua jinsi ya kuandaa na kutunza kitalu cha miche ya mbogamboga kwa sababu mazao mengi ya mboga mboga huhitaji kuanzia kitaluni ili yaweze ku...
Ni muhimu kuchagua eneo linalofaa kwa kilimo cha pilipili hoho kabla ya kuanza uzalishaji. Ni vyema eneo litakalotumika katika kilimo cha pilipili hoho ...
Kilimo cha bamia huchukua muda mfupi sana, bamia huchukua siku 50 hadi 60 kuanza kuvuna. Huwa tayari kuvunwa siku tano tangu kutoka kwa maua zikiwa changa ..
Ni muhimu kuchagua eneo linalofaa kwa kilimo cha bamia kabla ya kuanza uzalishaji. Ni vyema eneo litakalotumika katika kilimo cha bamia liwe...
Kilimo cha matikiti huhitaji udongo wenye rutuba nzuri ulio na virutubisho. Vile vile haihitaji udongo wenye kiasi kikubwa cha tindikali na alikali kubwa.
Ili ufanikiwe katika kilimo cha vitunguu maji, utahitaji kuzingatia mambo muhimu kama kuandaa shamba linalofaa pamoja na aina ya mbegu na matunzo muhimu kama kuweka mbolea na kudhibiti wadudu na magonjwa