Je unamfahamu mdudu huyu hatari kwa maharage?
Funza wa vitumba ni nondo, na ni mdudu mharibifu maarufu wa kunde na maharage mengine kote Afrika Mashariki na Magharibi. Viwavi hula vitumba na maua, na kuingia ndani ya mifuko ya maharage na kuacha tundu kwenye mfuko wa maharage na…
