Aina Bora 19 za Mbegu za Mihogo
Zaidi ya aina 45 za mbegu za mihogo zinajulikana hapa nchini. Zaidi ya 80% ya mihogo ni ya asili. Hivyo wakulima wengi hawatumii mbegu bora za mihogo.

Kabla ya kupanda, mbegu ya mpunga inatakiwa kuandaliwa vizuri ili kuirahisishia kuota kwa kiwango kizuri ili mkulima apate miche bora ya kupandikiza baadae.