Kilimo Bora

Aina Mpya za Mbegu za Mazao

Kamati ya Taifa ya Mbegu (National Seed Committee) imeidhinisha matumizi ya aina 29 za mbegu mpya za mazao mbali mbali ya kilimo. Mazao hayo ni mahindi, mpunga, alizeti, karanga na chai. Hatua hiyo ya Kamati inalenga kuongeza tija na kipato kwa mkulima. Kuidhinishwa kwa aina hizo za mbegu kunafuatia mapendekezo Read more…

By Mtalula Mohamed, ago