Kanuni 12 za kilimo bora chenye tija Tanzania
Kanuni za kilimo bora ni seti ya miongozo au taratibu za kisayansi zilizofanyiwa majaribio kwa muda mrefu na ambazo zimekubalika zitumike katika kuboresha uzalishaji wa mazao. Kanuni za kilimo bora ni muhimu sana katika kuhakikisha kilimo kinakuwa na tija na kusaidia kuboresha maisha ya wakulima na jamii kwa ujumla.
