Wadudu na Magonjwa
Kilimo cha Pilipili Hoho: Wadudu waharibifu
Wadudu waharibifu ni tatizo kubwa sana katika kilimo cha mazao kwa sababu hushambulia mazao na kusababisha hasara kwa mkulima. Wadudu hushambulia mimea na kusababisha athari (injury) zinazopelekea mkulima kupata hasara (damage) ya asilimia sabini au zaidi pindi mashambulizi yanapokuwa makubwa. (more…)