Jinsi ya Kudhibiti Panya Shambani
Ili kudhibiti panya waharibifu wa mazao inashauriwa kutumia mbinu za aina tofauti kwa wakati mmoja ili kuongeza ufanisi wa kuwadhibiti. Chakufanya ni ...

Ili kudhibiti panya waharibifu wa mazao inashauriwa kutumia mbinu za aina tofauti kwa wakati mmoja ili kuongeza ufanisi wa kuwadhibiti. Chakufanya ni ...
Panya ni wanyama wadogo jamii ya mammalia walio katika familia/kundi linalotambulika kitaalamu kama Muridae wenye meno mawili ya mbele kwa kila taya na mwanya kati ya meno ya mbele na magego unaotambulika kitaalamu kama Diastema.