Wafahamu viwavi jeshi vamizi wa mazao (Fall ArmyWorm)
Viwavi jeshi hushambulia aina za mimea/mazao zaidi ya 80. Hupendelea zaidi mimea jamii ya nafaka kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na miwa na mbogamboga.