Kanuni za Kilimo Bora cha Alizeti Tanzania
Udongo wa tifutifu hasa wenye rutuba ya kutosha na tindikali kuanzia pH 6.0 hadi 7.5 unafaa sana kwa kilimo cha alizeti.
Udongo wa tifutifu hasa wenye rutuba ya kutosha na tindikali kuanzia pH 6.0 hadi 7.5 unafaa sana kwa kilimo cha alizeti.
Hizi ni aina mpya za mbegu za mazao ya mahindi, mpunga, alizeti, karanga na chai. Kutokana na ubora wake mbegu hizi zitaongeza tija na kipato kwa mkulima.