Kilimo cha zao la vanilla – part 2
Katika kipindi kilichopita tuliona mahitaji ya zao la vanilla na jinsi linavyolimwa, sasa leo napenda kukukaribisha ndugu yangu mkulima katika sehemu hii ya pili ambapo tutaona: magonjwa na wadudu waharibifu wa zao la vanilla likiwa shambani pamoja na kuvuna, kukausha na…
