Tag turmeric

Kilimo cha Binzari (Curcuma longa)

  Utangulizi Binzari kitalaam ni Curcuma longa na kwa kiingereza ni turmeric. Asili ya kilimo cha binzari ni Mashariki ya Mbali, na binazari inalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera, Kilimanjaro, Morogoro na Zanzibar. Binzari hutumika kwa mapishi ya nyama,…