Kilimo cha Viungo Chachu ya Uchumi Morogoro
Milima ya Uluguru-Morogoro ASILIMIA 90 ya wananchi katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro ni wakulima na wamekuwa wanakitumia kilimo kujiendeleza kiuchumi, wao na halmashauri hiyo. Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 halmashauri hiyo inakadiriwa kuwa…
