Tag: Migomba

Ugonjwa wa Mnyauko wa migomba (Unyanjano) – Banana Bacterial Wilt

UTANGULIZI Ugonjwa wa Unyanjano au Mnyauko bakteria wa migomba (Banana Xanthomonas Wilt) umepewa jina lake kutoka kwa bakteria wanaoambukiza na hatimaye kuua mgomba. Ugonjwa huo umeongezeka sana nchini Tanzania tangu ulipogundulika kwa mara ya kwanza mwaka wa 2006 mkoani Kagera

Kilimo bora cha Migomba – Part 3

UVUNAJI Zao la ndizi huweza kuanza kuvunwa katika kipindi cha miezi 9 hadi miezi 15 tangu kupandwa kwa chipukizi. Muda wa kuvunwa hutegemea hali ya hewa. Katika sehemu za joto ndizi huvunwa mapema zaidi kuliko sehemu za baridi. Pia migomba

Kilimo bora cha Migomba / ndizi – 2

Migomba huhitaji maji mengi. Wakati wa kiangazi inafaa kumwagilia ili kuto kupunguza sana ukubwa na wingi wa ndizi zinazotarajiwa kuvunwa kwa mwaka. Kiasi cha maji kinachotakiwa kwa wiki ni milimita 25, yaani eneo linalo zunguka shina la migomba lilowe kabisa.

Ndizi
Mboga mboga na matunda
Mtalula Mohamed

Kilimo bora cha Migomba / Ndizi – 1

Nchini Tanzania mikoa inayoshughulika na kilimo cha migomba na kuzalisha zao la ndizi kwa wingi ni pamoja na Kagera, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Manyara, …

Join Our Farming Community