Kilimo Biashara

Kilimo Bora Cha Maharage

Nimepata maombi mengi sana kutoka kwa wasomaji wangu kuwa wanataka kujua kilimo cha maharage ya njano. Maharage ya njano, Uyole, ni moja kati ya aina za mbegu za maharage kama ilivyo kwa maharage mekundu mafupi, mekundu marefu n.k. Hatua na mahitaji ya kilimo cha maharage ya njano ni sawasawa na Read more…

By Mtalula Mohamed, ago