Tag: Hoho

Kiwavi matunda ndani ya tunda la pilipili hoho
Wadudu na Magonjwa
Steven Kibigili

Kilimo cha Pilipili Hoho: Wadudu waharibifu

Wadudu waharibifu ni tatizo kubwa sana katika kilimo cha mazao kwa sababu hushambulia mazao na kusababisha hasara kwa mkulima. Wadudu hushambulia mimea na kusababisha athari (injury) zinazopelekea mkulima kupata hasara (damage) ya  asilimia sabini au zaidi pindi mashambulizi yanapokuwa makubwa.

uvunaji wa pilipili hoho
Mboga mboga na matunda
Steven Kibigili

Umwagiliaji, Mbolea na Uvunaji wa Pilipili hoho

Ni vyema umwagiliaji wa pipilipili hoho uzingatie hatua za ukuaji wa mimea bustanini au shambani, hali ya hewa na uwezo wa udongo kutunza maji. Mahitaji ya …

Pilipili hoho zimekomaa
Mboga mboga na matunda
Steven Kibigili

Fahamu Kilimo Bora cha Pilipili Hoho – 1

Ni muhimu kuchagua eneo linalofaa kwa kilimo cha pilipili hoho kabla ya kuanza uzalishaji. Ni vyema eneo litakalotumika katika kilimo cha pilipili hoho …

error: Content is protected !!

Join Our Farming Community