Acha kulima kwa hisia; soma, jifunze!
Unawezaje kuingia shambani bila kujua gharama utakazotumia au faida utakayopata? Ili kukuepusha na hasara za ‘sapraizi’, tumekuandalia miongozo ya kitaalamu ya mazao mbalimbali itakayokuongoza kwa kila hatua, kuanzia maandalizi ya shamba hadi kuvuna.
Tuna vitabu vya aina mbili…
- Ikiwa unahitaji mbinu za ufundi pekee, Vitabu vya kilimo bora vinakufaa.
- Lakini, kama unataka kuendesha kilimo kama biashara kamili yenye mchanganuo wa bajeti na faida, Miongozo ya kilimo biashara ndiyo chaguo lako sahihi.
Vitabu vya Kilimo Bora
Vitabu vya kilimo bora vinamwezesha mkulima kujifunza dhana nzima ya kilimo cha mazao mbalimbali kwa ujumla wake. Vitabu hivi vinaeleza mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kuongeza uzalishaji shambani kwako katika hatua zote muhimu kama …
- Kuandaa shamba,
- Kuchagua mbegu bora na kupanda,
- Kuweka mbolea na kupuliza viuatilifu,
- Uvunaji kwa tija zaidi.
Miongozo ya Kilimo Biashara
Miongozo ya kilimo biashara ni full package kwa mkulima makini. Miongozo hii ina mbinu zote zitakazomuwezesha mkulima yeyote (hata asiye na uzaoefu) kupanga, kuanzisha na kusimamia uzalishaji wenye faida. Vitabu hivi vinajumuisha mambo yote yaliyoko kwenye vitabu vya kilimo bora, na kuongezea mengine matatu:
- Mapendekezo maalum (kutoka kwetu) ya aina na kiasi cha mbegu bora, mbolea na viuatilifu vinavyohitajika kwa ekari.
- Uchambuzi wa bajeti ya kilimo (gharama za uzalishaji katika kila hatua), na
- Makadirio ya faida utakayopata.
- HOT
[PDF] Mwongozo wa Kilimo cha Vitunguu saumu
Sh 12,000 - HOT
[PDF] Mwongozo wa kilimo cha Vitunguu maji
Sh 12,000 - HOT
[PDF] Mwongozo wa Kilimo cha Nyanya
Sh 12,000 - HOT
[PDF] Mwongozo wa Kilimo cha Matikiti maji
Sh 12,000
