Je, unataka kulima Matango? Au unataka kupata mchanganuo wa gharama za uzalishaji wake? Basi uko sehemu sahihi.
Kwenye Mwongozo wa Matango utajifunza yafuatayo…
- Hatua za ulimaji na utunzaji wa Matango tangu kuuandaa shamba mpaka kuvuna,
- Mapendekezo maalumu (kutoka kwetu) ya aina, na kiasi cha mbegu, mbolea, madawa na nyakati za kutumia,
- Makadirio ya gharama za uzalishaji kwa kila hatua za ulimaji na utunzaji wa Matango, na
- Makadirio ya mavuno na faida utakayopata baada ya kuuza.
Ikiwa unataka (na unajiandaa) kulima Matango au unataka kuandaa mpango wa mradi wa kilimo, mwongonzo huu utakufaa.
