Mwongozo-wa-kilimo-cha-mpunga
[PDF] Mwongozo wa Kilimo cha Mpunga

Sh 12,000

[PDF] Mwongozo wa Kilimo cha Mpunga

Kitabu hiki cha PDF ni maalum kwa mkulima wa mpunga, awe mpya anayejifunza au mzoefu anayetaka kuboresha uzalishaji wa zao hili.

Mwongozo huu unatoa mafunzo ya kitaalam na miongozo ya vitendo itakayokusaidia kuboresha mavuno na kuongeza faida. Mbali na kujifunza mahitaji ya kiikolojia, maandalizi ya shamba na uchaguzi wa mbegu na upandaji, utunzaji na uvunaji wa mpunga, utajifunza pia hatua kwa hatua za jinsi ya kulima zao hili, mchanganuo wa gharama za uzalishaji katika kila hatua na makadirio ya mavuno na mapato yake.

NB: Ukiwa na kitabu cha Mwongozo huhitaji tena kitabu cha Kilimo bora.

Sh 12,000

SKU: MW003 Category:

Je, unataka kufanikiwa katika kilimo cha mpunga?

Sasa mafanikio ni uhakika ukitumia kitabu cha Mwongozo wa Kilimo cha mpunga.

Kitabu hiki cha kielektroniki ni maalum kwa mkulima wa mpunga, awe mpya anayejifunza au mzoefu anayetaka kuboresha uzalishaji wa zao hili.

Mwongozo huu unatoa mafunzo ya kitaalam na miongozo ya vitendo itakayokusaidia kuboresha mavuno na kuongeza faida. Mbali na kujifunza mahitaji ya kiikolojia, maandalizi ya shamba na uchaguzi wa mbegu na upandaji, utunzaji na uvunaji wa mpunga, utajifunza pia hatua kwa hatua za jinsi ya kulima zao hili, mchanganuo wa gharama za uzalishaji katika kila hatua na makadirio ya mavuno na mapato yake.

Kitabu hiki kinajumuisha yafuatayo:

  1. Mahitaji ya kiikolojia: Kitabu hiki kinaanza kwa kuelezea mahitaji ya kiikolojia ya mpunga. Utajifunza kuhusu hali ya hewa, mwinuko, udongo, na unyevu unaohitajika kustawisha mpunga.
  2. Maandalizi ya shamba na Uchaguzi mbegu bora: Utajifunza jinsi ya kuandaa shamba lako kwa njia bora na kuchagua mbegu bora za mpunga kulingana na eneo lako.
  3. Hatua kwa hatua za upandaji na utunzaji wa mpunga: utapata mwongozo wa jinsi ya kupanda mpunga kwa ufanisi, kutumia mbolea na viuatilifu kwa nyakati na viwango sahihi katika kudhibiti wadudu, magonjwa na magugu.
  4. Mchanganuo wa gharama za uzalishaji kwa kila hatua: utajifunza mchanganuo wa gharama zinazohitajika katika kila hatua ya uzalishaji ili uweze kupanga vizuri bajeti yako ya kulimia.
  5. Makadirio ya mavuno na faida tarajiwa: hapa utajifunza makadirio ya mavuno ya mpunga na utajua mapato yanayotarajiwa kutoka kwenye uwekezaji wako.

Usikose fursa hii ya kuwa mkulima mwenye mafanikio zaidi. Jipatie kitabu cha mwongozo wa kilimo cha mpunga leo na ujenge msingi imara wa kilimo chako. Kumbuka: maarifa ni nguvu, na sisi tunakupa nguvu hiyo!