Makala za Kilimo

Jifunze kanuni za kilimo bora

Kilimo bora cha Viazi Vitamu (Sweet potatoes)

  Zao hili hustawi maeneo mengi Nchini Tanzania. Viazi hustawi vizuri katika maeneo ya tambarare yenye udongo tifutifu, unaoruhusu maji kupenya kwa urahisi. Udongo wa mfinyazi na wenye kokoto nyingi haufai kwani huzuia mizizi kupenya na kupanuka. Utangulizi Kilimo cha

Matango yaliyo komaa
Mboga mboga na matunda
Mtalula Mohamed

Fahamu Kilimo Cha Matango (Cucumber)

Matango, kutegemeana na aina ya mbegu, huvunwa kuanzia mwezi mmoja na nusu hadi miwili baada ya kupanda. Matunda yanatakiwa kuwa na urefu wa sm 15 hadi 20.

Mahindi
Mazao ya nafaka
Mtalula Mohamed

Kilimo cha Kisasa cha Mahindi

Kulingana na msimu kilimo cha mahindi huanza mwanzoni mwa mwezi wa 11 baada ya mvua za kwanza kunyesha ambayo huvunwa mwezi Machi mwishoni au aprili mwanzoni.

Mahitaji-ya-udongo-na-mbolea-katika-kilimo-cha-mahindi
Mazao ya nafaka
Mtalula Mohamed

Mahitaji ya Udongo na Mbolea katika kilimo cha Mahindi

  Habari, na karibu tena katika muendelezo wa mafunzo yetu ya kilimo cha kisasa. Leo tutaangazia kwenye mahitaji ya Udongo na  Mbolea katika kilimo cha Mahindi. Karibu … Mahitaji ya udongo na mbolea ni muhimu kwa ajili ya ukuaji wa

Ufugaji Wa Kuku Wa Kienyeji – Part 3 – Mwisho

“….Ili ufanikiwe katika ufugaji wa kuku, ni muhimu sana kulifahamu vyemi kundi la kuku wako. Ukilifahamu vema kundi lako utaweza kuchagua kuku bora wa kuzalishia kwa kuangalia ubora wa wazazi wao.” KUSIMAMIA UFUGAJI WAKO >>Kutunza kumbukumbu Ili ufanikiwe katika ufugaji wa

Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Part 2

KUZALIANA NA KUTOTOLESHA >>Uchaguzi wa Kuku bora Ili upate kundi lenye kuku bora huna budi uchague jogoo bora na matetea bora wa kuzalisha kundi lako. Angalia sifa zifuatazo unapochagua: i. Tetea na jogoo wawe na umbo kubwa. ii. Wanaokua haraka. iii.

Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Part 1

Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. UTANGULIZI Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya

Kanuni za Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji

Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo

Magonjwa ya Kuku

IIi uweze kudhibiti magonjwa ya kuku yanayotokea katika kundi lako unahitaji kufahamu dalili za jumla za magonjwa hayo. Unapoigundua moja au zaidi ya dalili za ugonjwa au wadudu chukua hatua mara moja. Magonjwa ya kuku yapo mengi. Hata hivyo siyo

Aina Mpya za Mbegu za Mazao

Kamati ya Taifa ya Mbegu (National Seed Committee) imeidhinisha matumizi ya aina 29 za mbegu mpya za mazao mbali mbali ya kilimo. Mazao hayo ni mahindi, mpunga, alizeti, karanga na chai. Hatua hiyo ya Kamati inalenga kuongeza tija na kipato

Join Our Farming Community