Ushuhuda wa Wasomaji Wetu

shishikaye eliudi

Shishikaye Eliud

Worker

"...Safi sana, Elimu nzuri sana"

Desdel Nyamiti

Desdel Nyamiti

Aspiring Farmer

"Nashukuru sana kwa elimu nzuri mnayoendelea kutupatia! Natarajia kulima msimu ujao kwa kuzingatia ushauri wenu na nina ahidi kuleta mrejesho hapa baada ya mavuno..."

Paulo Ammi

Paulo Ammi

College Student

"...Ahsante sana kwa makala inayoelimisha umma Wa watanzania!! Natambua umuhimu Wa makala hii kwani natarajia kuwa mkulima bora!"

Blog

Hizi hapa baadhi ya makala zetu...
Hali ya Hewa

Mwelekeo wa Mvua za Vuli Oktoba – Disemba 2018

Taarifa hii inatoa mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba, 2018, ushauri na tahadhari kwa wadau wa sekta mbali mbali wanaohitaji taarifa za hali ya hewa kama vile Kilimo na Usalama wa chakula, Mifugo na Wanyamapori, ...

Wasiliana Nasi


...Kwa Maswali au Ushauri

Contact Us