Makala za Kilimo

Jifunze kanuni za kilimo bora

uvunaji wa pilipili hoho
Mboga mboga na matunda
Steven Kibigili

Umwagiliaji, Mbolea na Uvunaji wa Pilipili hoho

Ni vyema umwagiliaji wa pipilipili hoho uzingatie hatua za ukuaji wa mimea bustanini au shambani, hali ya hewa na uwezo wa udongo kutunza maji. Mahitaji ya …

Pilipili hoho zimekomaa
Mboga mboga na matunda
Steven Kibigili

Fahamu Kilimo Bora cha Pilipili Hoho – 1

Ni muhimu kuchagua eneo linalofaa kwa kilimo cha pilipili hoho kabla ya kuanza uzalishaji. Ni vyema eneo litakalotumika katika kilimo cha pilipili hoho …

maua ya bamia
Mboga mboga na matunda
Steven Kibigili

Muongozo wa Kilimo cha Bamia – 2

Kilimo cha bamia huchukua muda mfupi sana, bamia huchukua siku 50 hadi 60 kuanza kuvuna. Huwa tayari kuvunwa siku tano tangu kutoka kwa maua zikiwa changa ..

Mboga mboga na matunda
Steven Kibigili

Muongozo wa Kilimo cha Bamia – 1

Ni muhimu kuchagua eneo linalofaa kwa kilimo cha bamia kabla ya kuanza uzalishaji. Ni vyema eneo litakalotumika katika kilimo cha bamia liwe…

Lima-kibiashara
Kilimo Biashara
Mtalula Mohamed

Fahamu Mambo Mawili Kabla Hujaanza Kilimo Biashara

Unapoanzisha mradi wa kilimo biashara, unatarajia mwisho wa siku uumalize kwa kupata faida, sasa haya hapa mambo makubwa mawili unayotakiwa kuyajua kabla hujaanza mradi wako wa kilimo biashara.

Majani-ya-muhogo-almaarufu-kama-kisamvu
Mazao ya Mizizi
Mtalula Mohamed

Muongozo wa Kilimo Bora Cha Mihogo

Muhogo ni zao la jamii ya mizizi. Kilimo cha muhogo hustawi vizuri katika maeneo yaliyopo kwenye mwinuko wa mita 0 hadi 1500 toka usawa wa bahari.

Mbegu-bora-za-mahindi
Mazao ya nafaka
Mtalula Mohamed

Zifahamu Mbegu Bora za Mahindi

Ndugu mkulima, ili ufanye kilimo bora na cha kisasa cha mahindi, Mogriculture Tz inakuasa kuachana na matumizi ya mbegu za kienyeji, kwani mbegu za kienyeji zina mavuno madogo sana na zinachukua muda mrefu sana kukomaa na nyingi zinashambuliwa sana na

Mkulima-ni-mfanyabiashara
Kilimo Biashara
Mtalula Mohamed

Tambua Thamani Na Jinsi ya Kupanga Bei ya Mazao yako

Natarajia mpaka mwisho wa wa makala hii ujifunze mambo unayotakiwa kufanya ili ujue thamani ya mazao yako na uweze kupanga bei ya mazao yako mwenyewe yenye kukuletea faida bila ya kushawishiwa na madalali.

Wadudu-hatari-wa-maharage
Jamii ya Mikunde
Mtalula Mohamed

Je unamfahamu mdudu huyu hatari kwa maharage?

Funza wa vitumba ni nondo, na ni mdudu mharibifu maarufu wa kunde na maharage mengine kote Afrika Mashariki na Magharibi. Viwavi hula vitumba na maua, na kuingia ndani ya mifuko ya maharage na kuacha tundu kwenye mfuko wa maharage na

Maharage-yenye-mapodo
Jamii ya Mikunde
Mtalula Mohamed

Kilimo Bora Cha Maharage

Urahisi wa kilimo cha maharage na faida zake lukuki ni kivutio kwa watu wengi lakini bila kufuata muongozo wa kitaalam ni ndoto kwa mkulima kupata mavuno mengi.

Join Our Farming Community