Tunakufahamisha kanauni za kilimo bora cha mazao.
Je unatatizika katika kilimo chako?

Bado tunakushika mkono...

Makala za kilimo

Tumekuandali makala zinazoeleza mbinu sahihi za utunzaji wa mazao, mbegu bora, mahitaji ya madawa na mbolea na jinsi ya kudhibiti wadudu na magonjwa

Vitabu vya kilimo

Unaweza kujipatia vitabu vya kilimo bora ambavyo utakuwa huru kuvisoma bila ya kuwa na mtandao wakati wowote ule.

Jipatie kitabu chetu bure sasa hivi

{{Privy:Embed campaign=612047}}

Blog

Hizi hapa baadhi ya makala zetu

Ushuhuda wa wasomaji wetu

"...Safi sana, Elimu nzuri sana"
shishikaye eliudi
Shishikaye Eliud
Worker
"Nashukuru sana kwa elimu nzuri mnayoendelea kutupatia! Natarajia kulima msimu ujao kwa kuzingatia ushauri wenu na nina ahidi kuleta mrejesho hapa hapa baada ya mavuno..."
Desdel Nyamiti
Desdel Nyamiti
Aspiring Farmer
Ahsanteni sana kwa makala inyoelimisha umma wa watanzania!! Natambua umuhimu wa makala zenu kwani natarajia kuwa mkulima bora!"
Paulo Ammi
College Student