Category: Mboga mboga na matunda

late-blight-on-fruits
Wadudu na Magonjwa
Mtalula Mohamed

Magonjwa hatari ya nyanya na dawa zake

Pamoja na umuhimu wake, magonjwa ya nyanya yamekuwa ni kikwazo kikubwa sana katika uzalishaji na ubora wa matunda ya nyanya. Hivyo basi ili mkulima aweze …

Mboga mboga na matunda
Mtalula Mohamed

Kilimo Bora Cha Matikiti Maji

Kilimo cha matikiti huhitaji udongo wenye rutuba nzuri ulio na virutubisho. Vile vile haihitaji udongo wenye kiasi kikubwa cha tindikali na alikali kubwa.

Nanasi
Mboga mboga na matunda
Mtalula Mohamed

Jinsi ya kufanya Kilimo cha Nanasi

Nanasi linalitaji hali ya hewa ya joto. Mwinuko wa mita 1300 hadi 1750 hufaa zaidi kwa uzalishaji wa nanasi kwaajili ya kilimo cha nanasi, …

Matango yaliyo komaa
Mboga mboga na matunda
Mtalula Mohamed

Fahamu Kilimo Cha Matango (Cucumber)

Matango, kutegemeana na aina ya mbegu, huvunwa kuanzia mwezi mmoja na nusu hadi miwili baada ya kupanda. Matunda yanatakiwa kuwa na urefu wa sm 15 hadi 20.

Mboga mboga na matunda
Mtalula Mohamed

Wadudu na Magonjwa hatari ya Vitunguu Maji

Kilimo cha vitunguu maji kina changamoto kubwa sana ya kushambuliwa na wadudu na magonjwa. Usipodhibiti wadudu na magonjwa ya vitunguu unaweza kuathiri …

Shamba la vitunguu vilivyopandwa kwenye matuta
Mboga mboga na matunda
Mtalula Mohamed

Fahamu Kilimo cha kisasa cha vitunguu Maji – 1

Ili ufanikiwe katika kilimo cha vitunguu maji, unahitaji kuzingatia mambo yafuatayo; kuandaa eneo au shamba linalofaa pamoja na mbegu bora ya vitunguu, …

Ugonjwa wa Mnyauko wa migomba (Unyanjano) – Banana Bacterial Wilt

UTANGULIZI Ugonjwa wa Unyanjano au Mnyauko bakteria wa migomba (Banana Xanthomonas Wilt) umepewa jina lake kutoka kwa bakteria wanaoambukiza na hatimaye kuua mgomba. Ugonjwa huo umeongezeka sana nchini Tanzania tangu ulipogundulika kwa mara ya kwanza mwaka wa 2006 mkoani Kagera

Kilimo bora cha Migomba – Part 3

UVUNAJI Zao la ndizi huweza kuanza kuvunwa katika kipindi cha miezi 9 hadi miezi 15 tangu kupandwa kwa chipukizi. Muda wa kuvunwa hutegemea hali ya hewa. Katika sehemu za joto ndizi huvunwa mapema zaidi kuliko sehemu za baridi. Pia migomba

Kilimo bora cha Migomba / ndizi – 2

Migomba huhitaji maji mengi. Wakati wa kiangazi inafaa kumwagilia ili kuto kupunguza sana ukubwa na wingi wa ndizi zinazotarajiwa kuvunwa kwa mwaka. Kiasi cha maji kinachotakiwa kwa wiki ni milimita 25, yaani eneo linalo zunguka shina la migomba lilowe kabisa.

Join Our Farming Community