Una mpango wa kufanya kilimo? Au umeshaanzisha mradi wako tayari?

Tunaweza kukusaidia ufikie malengo yako. Tushirikishe ili tushauriane nawe au tufike shambani kwako.

Huduma

Ushauri kilimo na Kutembelea mashamba

Gharama

Ushauri Kilimo ni TZS 5000 na
Kutembelea Mashamba (gharama) ni maelewano

Msaada

Msaada wakati na baada ya huduma ni wa uhakika. Tunakupa kipaumbele kukuhudumia.

Huhitaji huduma ya kushauriwa nasi? Ondoa shaka unaweza…