Hili ni jukwaa kwa ajili ya majadiliano yanayohusu kilimo cha mazao ya mbogamboga kama vile nyanya, vitunguu maji, kabichi, bamia, pilipili hoho, karoti, na mboga za majani. Na mazao ya matunda kama vile matikiti, nanasi, matango, papai, ndizi, parachichi, machungwa na matunda mengi mengine.
Hili ni jukwaa kwa ajili ya majadiliano yanayohusu kilimo cha mazao ya nafaka kama vile mahindi, mpunga, mtama na mazao ya jamii ya mikunde kama vile maharage, soya, kunde, njegere, na mbaazi.
Hili ni jukwaa kwa ajili ya majadiliano yanayohusu kilimo cha mazao ya ambayo hulimwa maalumu kwa ajili ya kuchakatwa viwandani mfano muwa, korosho, mkonge, pamba, chai, kokoa na kahawa.
Hili ni jukwaa kwa ajili ya majadiliano yanayohusu ufugaji wa kuku wa kisasa na kuku wa kienyeji (asili), na kuku wa nyanya na kuku wa mayai. Lakini pia kwa ufugaji wa bata na kanga.
Hili ni jukwaa kwa ajili ya majadiliano yanayohusu ufugaji wa aina zote za samaki. Kama vile kambale, sato, sangara, pelege, migebuka, na wengi wengine.