Kilimo cha Pilipili Hoho: Wadudu waharibifu
Kiwavi matunda ndani ya tunda la pilipili hoho

Kilimo cha Pilipili Hoho: Wadudu waharibifu

Wadudu waharibifu ni tatizo kubwa sana katika kilimo cha mazao kwa sababu hushambulia mazao na kusababisha hasara kwa mkulima. Wadudu hushambulia mimea na kusababisha athari (injury) zinazopelekea mkulima kupata hasara (damage) ya¬† asilimia sabini au zaidi pindi mashambulizi yanapokuwa makubwa. (more…)

2 Comments
Close Menu