Day: May 30, 2016

Kilimo bora cha Migomba / ndizi – 2

Migomba huhitaji maji mengi. Wakati wa kiangazi inafaa kumwagilia ili kuto kupunguza sana ukubwa na wingi wa ndizi zinazotarajiwa kuvunwa kwa mwaka. Kiasi cha maji kinachotakiwa kwa wiki ni milimita 25, yaani eneo linalo zunguka shina la migomba lilowe kabisa.

Ndizi
Mboga mboga na matunda
Mtalula Mohamed

Kilimo bora cha Migomba / Ndizi – 1

Nchini Tanzania mikoa inayoshughulika na kilimo cha migomba na kuzalisha zao la ndizi kwa wingi ni pamoja na Kagera, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Manyara, …

Join Our Farming Community